3.Reforms (Mageuzi): Changamoto za kisheria: Madai ya CHADEMA kuhusu marekebisho ya Sheria za Uchaguzi na Katiba Mpya zinaashiria umuhimu wa mageuzi na maboresho ya kisheria. yanaweza kuonekana kama hatua za kutekeleza mageuzi na kudumisha utulivu. #MSLAC