Waziri wa @wizarahmth, Mhe. @Nnauye_Nape (Mb), akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Bw. Mohammed Khamis Abdulla, pamoja na Afisa Mtendaji wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna, wakitia saini makubaliano ya ushirikiano kati ya Wizara na Benki hiyo.
MatokeoChanya
January 26, 2024
Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania MpyA+
266 Imeonekana