MRADI WA KONGANI YA KISASA YA VIWANDA (MODERN INDUSTRIAL PARK) KATIKA ENEO LA MLANDIZI.

Mwekezaji KAMAKA COMPANY LIMITED wa Tanzania, anawekeza kwenye mradi wa KONGANI YA KISASA YA VIWANDA (MODERN INDUSTRIAL PARK) inayoendelea kujengwa katika eneo la Mlandizi, Wilaya ya Kibaha, Mkoani wa Pwani. Mradi una kubwa wa ekari 1077 na ni eneo la kimkakati!

#Matokeochanya+

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *