Maktaba ya Kila Siku: April 3, 2024
TEKNOLOJIA ZINAZOIBUKIA ZAONGEZA UFANISI ZA KIUTENDAJI KATIKA WIZARA YA HABARI NA MAWASILIANO.
WIZARA YA HABARI NA MAWASILIANO YAZINDUA MFUMO WENYE KUHIFADHI NA KUTUNZA TAARIFA BINAFSI
USALAMA WA TAARIFA BINAFSI MTANDAONI
UZINDUZI WA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI ZA KIMTANDAO – MATUKIO KATIKA PICHA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti wakati wa Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC Posta Dar es salaam leo April 03,2024.
Soma zaidi »TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI, KULINDA NA KUSIMAMIA FARAGHA YA TAARIFA ZA KIBINAFSI KATIKA JAMII.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muundo wa kisheria uliowekwa na serikali kwa lengo la kusimamia na kulinda taarifa za kibinafsi za watu katika jamii. Hii inaonyesha kutambua umuhimu wa faragha na haki za kibinafsi za watu katika enzi ya kidijitali ambapo data zetu zinahifadhiwa na kusindikwa kwa kiwango …
Soma zaidi »