HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI MUUNGANO NA MAZINGIRA DKT SELEMAN JAFO UZINDUZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA

UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034

Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia.

Ad

Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2033. Mkakati unajumuisha usambazaji wa majiko banifu na gesi asilia, pamoja na kuimarisha miundombinu na elimu kuhusu matumizi ya nishati safi.

Ad

Unaweza kuangalia pia

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA 39 WA ALAT- DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Mkutano Mkuu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *