Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza kuangaliwa upya kwa sheria zinazohusu uhifadhi wa mazingira ili kuliwezesha Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Halmashauri kuwa na nguvu ya kuchukua hatua kali dhidi ya uharibifu wa Mazingira. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 31, 2024
Kongamano la Wadau wa Mazingira 2024
Makamu wa Rais amewasihi Watanzania kuacha mazoea ya kukata miti na kutupa taka hovyo na kuziagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa zihakikishe kuwa Kampuni zinazopewa kazi ya kuzoa taka ziwe na uwezo wa kufanya kazi hizo kwa ufanisi.
Soma zaidi »Kongamano la Wadau wa Mazingira – (NEMC) 31 Mei 2024 (VIDEO)
Kongamano la wadau wa mazingira lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kufanyika tarehe 31 Mei 2024, katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Kongamano hili linakusudia kuleta pamoja wadau mbalimbali kujadili njia bora za kusimamia na kuhifadhi mazingira nchini Tanzania. Mada kuu zitakazojadiliwa ni …
Soma zaidi »