Mtambo namba 8 toka kwenye bwawa la kufua umeme la Julius Nyerere Umewashwa rasmi, na sasa Jumla ya Megawati 470 zinazalishwa toka kwenye bwawa hilo na tayari zimeingizwa kwenye gridi ya taifa.
Unaweza kuangalia pia
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara za huduma za kifedha ili kuvutia uwekezaji wa ndani na nje kwa kuwa maendeleo endelevu ya taifa hayawezi kufikiwa bila ushiriki thabiti wa sekta binafsi
Amesema kuwa sekta ya fedha ni kichocheo kikubwa katika ukuaji wa Uchumi na ustawi wa …