ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA , YALETA TABASAMU JIPYA MLELE MKOANI KATAVI…

Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya Mafanikio Makubwa kwa Mkoa wa Katavi, Hasa kwenye Maswala ya Utekelezaji na usambazi wa umeme kutoka gridi ya Taifa, Maswala ya Ardhi na Juhudi Kubwa ya Serikali Katika Sekta ya Ujenzi hasa Ujenzi wa Barabara.

Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YETU, FAHARI YETU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *