Maktaba ya Kila Siku: July 20, 2024

Imeelezwa kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo ni picha na maono kuhusu mustakabali tarajiwa wa maendeleo ya nchi kwa siku za usoni.

Hayo yamebainishwa leo Julai 20, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akifungua Kongamano la Kwanza la Kikanda kuhusu Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 jijini Mwanza. “Maandalizi ya Dira ni sehemu ya upangaji maendeleo na sisi kama Taifa ili tuweze …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja wa Kawawa, mkoani Kigoma. Uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchini nzima. Mikoa ambayo inaanza uboreshaji wa daftari hilo leo Julai 20, 2024 hadi …

Soma zaidi »