Maktaba ya Kila Siku: July 22, 2024

WITO WA RAIS SAMIA KWA MACHIFU, KUIGA UONGOZI WA CHIFU HANGAYA KWA MAENDELEO YA JAMII

Rais Samia anaonyesha imani na matumaini yake kwa machifu, akiamini kwamba wana uwezo wa kuongoza vyema maeneo yao.  Hii inaashiria heshima na kuthamini mchango wa machifu katika jamii. Rais anamtaja Chifu Hangaya kama kielelezo cha uongozi bora. Hii inaonyesha kwamba Chifu Hangaya ana sifa na mafanikio ambayo machifu wengine wanapaswa …

Soma zaidi »

UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA UTALII

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika rasilimali watu kwenye elimu na ujuzi pamoja na agenda ya usalama wa maeneo ya utalii lengo likiwa ni kuibadilisha Afrika kwa siku zijazo kupitia ujuzi wa elimu na …

Soma zaidi »

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imesaini hati ya Makubaliano na Kampuni ya FREMU ya nchini Uingereza ili lkuwezesha wafanyabiashara wa Tanzania kuuza bidhaa zao katika soko la Uingereza kupitia Mtandao wa Kampuni ya FREMU.

Makubaliano hayo yamesainiwa na Mkurugenzi wa TANTRADE Bi Latifa Khamis na Mkurugenzi wa Kampuni ya FREMU Ndugu David Mukisa. Kampuni hiyo inauza bidhaa za vyakula katika soko la Uingereza kutoka nchi mbalimbali za Afrika ikiwemo Uganda, Kenya, Nigeria, Ghana na Rwanda. Kufuatia makubaliano yaliyosainiwa leo, bidhaa za wafanyabiashara wa Tanzania …

Soma zaidi »