TANZANIA YASHIRIKI MAANDALIZI YA MKUTANO WA KUJADILI MAENDELEO ENDELEVU

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (wakwanza kulia), akifuatilia majadiliano mbalimbali wakati wa Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment – FfD4, kinachoendelea kufanyika hadi 26 Julai 2024 jijini Addis Ababa nchini Ethiopia, ikiwa ni siku ya kwanza ya kikao hicho, Bi. Amina ameshiriki mkutano huo kwaniaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb).

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa Bw. Murshid Hashim Ngeze mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *