“Mhe Rais nikupe habari njema…..”

“Mhe Rais nikupe habari njema; picha yako hiyo.. (picha ya Rais Dkt. Samia akiwa katika chumba Maalum cha kuokolea maisha watoto wachanga wanaozaliwa na changamoto za kiafya, alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi 14/07/2024), Mhe Rais picha yako hiyo imenipa (Wizara ya Afya) ahadi ya kupata Dola za Kimarekani Milioni 70..! Sawa na Shilingi za Kitanzania Bilioni 128 ili sasa tuendelee kutekeleza maelekezo yako (Kuokoa maisha watoto wachanga mara baada ya kuzaliwa na changamoto mbalimbali za Kiafya)”

Mhe Ummy Mwalimu

Ad

Waziri wa Afya

JNICC – 31/07/2024

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”

“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *