Mtalii Raia wa Sweden Avutiwa na Ubora wa Treni ya Kisasa ya SGR Nchini Tanzania

“Ni treni ya kisasa kabisa na tunajisikia vizuri (‘comfortable’) kutumia aina hii ya usafiri. Ina mwendo wa kasi iko ‘comfortable’ na ina huduma nzuri wakati wa safari. Kitu kizuri na cha kufurahisha zaidi, ni treni nzuri zaidi kuzidi hata zile za kwetu nyumbani Ulaya ( Sweden) treni hii ni nzuri sana. Kwa watalii kama sisi treni hii inarahisisha zaidi safari kutoka mji mmoja kwenda mwingine. Nadhani muendelee (TANZANIA) kujenga vituo vingi vya treni kwa sababu ni ‘comfortable’ sana na inarahisisha sana safari zetu (Watalii) (Kuhusu kama anamfahamu Rais Dkt Samia) … ahh simfahamu vizuri sana lakini napompongeza sana kwa kazi zake nzuri anazoifanyia Nchi (Tanzania) “ Mtalii Raia wa Sweden baada ya kusafiri ya treni ya SGR kutoka Dar – Morogoro

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *