Ziara Ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kilombero, Morogoro

Wananchi wa Ifakara wajitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Ifakara, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Ziara hii ilikuwa ni sehemu ya mikutano ya Rais Samia na wananchi, ambapo alifika kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero zao. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *