Maktaba ya Kila Siku: August 8, 2024

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maonesho ya NaneNane kwenye viwanja vya Nzuguni, Dodoma

Leo, 8/08/2024 tunasherehekea kilele cha Maonesho ya NaneNane katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma, ambapo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi. Siku hii muhimu inatupa fursa ya kutambua na kusherehekea mchango wa wakulima na wafugaji katika maendeleo ya taifa letu. #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC

Soma zaidi »