Katiba ya Tanzania na Wajibu wa Kulinda Mazingira, Ibara ya 27 ya Katiba inasema wazi kuwa kila mtu ana wajibu wa kulinda mali ya umma na mali ya pamoja ambayo ni pamoja na maliasili na mazingira. Hii ina maana kuwa, ni jukumu la kila Mtanzania kuhakikisha kwamba ardhi, misitu, maji, na maliasili nyingine zinalindwa na kutumika kwa njia endelevu ili kuzihakikishia vizazi vijavyo urithi huu muhimu.
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi