Dhamira ya Mhe Rais Dkt. Samia ni kuwaleta Watanzania wote pamoja, bila kujali tofauti zao, ili kwa pamoja waweze kushiriki katika safari ya kujenga Tanzania ya kesho yenye mafanikio na ustawi kwa wote

Ni mwito wa kuwa na upendo kwa nchi, kuipa kipaumbele Tanzania na kuhakikisha kwamba kila hatua inayochukuliwa inasaidia katika kujenga taifa bora kwa vizazi vijavyo. #MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa Bw. Murshid Hashim Ngeze mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *