#MSLAC #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: August 15, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam
Mawaziri hao walioapa ni: Mhe. Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb.) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria; Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu); Mhe. Jenista Joackim Mhagama (Mb.) kuwa Waziri wa Afya; na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Hazara …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi hiyo, Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (NSSF, PSSSF na WCF) pamoja na watendaji Bungeni jijini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameondoka Zanzibar na kuelekea Dodoma leo
Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, ameongoza Watendaji Wakuu wa Serikali kumuaga Rais Dk. Mwinyi. Akiwa Mjini Dodoma, Rais Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Chuo …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amewasili katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma katika hafla ya Tangazo la Uchaguzi wa Mitaa 2024
Kauli mbiu ya Uchaguzi “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi”
Soma zaidi »Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Sekretariet ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano katika Usimamizi na Menejimenti ya Taka za Plastiki Bi. Clemence Schmid, Chamwino Dodoma
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kushirikiana na wadau, sekta binafsi pamoja na jumuiya ya kimataifa katika kupambana na tatizo la taka za plastiki nchini. Amesema uzoefu unaonesha kwamba ushirikiano ni njia bora zaidi itakayowezesha kukabiliana na tatizo hilo kwani yapo maeneo ambayo taka za plastiki hutupwa …
Soma zaidi »Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Ronald Lamola na Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar, Mhe. Dkt. Rasata Rafaravavitafika pembezoni mwa Mkutano wa Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Harare, Zimbabwe.
Akizungumza na Mhe. Lamola, Waziri Kombo ameeleza kuwa Tanzania itaendelea kudumisha ushirikiano wa kihistoria na kindugu uliopo baina ya Tanzania na Afrika kusini ili kukuza sekta za kiuchumi ikiwemo biashara, utalii, uwekezaji, elimu, afya na maeneo mengine ya kimkakati kwa maslahi ya pande zote mbili. Naye Mhe. Lamola ameeleza …
Soma zaidi »