Kituo cha Afya Msomera Chatoa Huduma Kamili za Matibabu na Afya kwa Jamii

Dr. Lyidia Bulinga Mganga Mfawidhi Kituo cha Afya Msomera, kituo hiki kinatoa huduma za Matibabu kwa wagonjwa wa nje OPD, huduma za Uzazi na afya ya Mtoto RCH, huduma ya Mama na Mtoto, huduma za CTC kwa wagonjwa wenye maambukizi ya VVU na Huduma za Maabara vipimo vyote.

Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YETU, FAHARI YETU

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *