Maendeleo ya taifa hayaji kwa kubahatisha, bali kwa juhudi na kazi ya kila mmoja

Kwa kujituma, tunajenga jamii yenye uchumi imara, maadili bora, na kizazi chenye uwezo wa kubeba taifa letu kwa miaka ijayo. Kazi ndio msingi wa taifa lenye mafanikio, na kila Mtanzania ana jukumu la kuhakikisha anashiriki kikamilifu katika safari hii ya kujenga Tanzania yenye ustawi na nguvu. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *