Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Verona, nchini Italia ambako anatarajia kushiriki katika Mkutano wa 22 wa Maspika wa Mabunge ya nchi za G7

Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika nchini humo kuanzia tarehe 5 hadi 8 Septemba, 2024.

Mhe. Dkt. Tulia ataiwakilisha IPU katika Mkutano huo ambapo ujumbe mkuu atakaouwasilisha ni umuhimu wa ushirikiano wa Kimataifa miongoni mwa nchi zote duniani katika kutekeleza na kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa pamoja.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *