Kustahimiliana kunajenga jamii yenye mshikamano, ambako utofauti unakubaliwa na kuheshimiwa, huku masuala yanayohusu tofauti za kisiasa, kijamii, na kiuchumi yakitatuliwa kwa amani kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.

#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Katibu wa NEC (Uchumi na Fedha) wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Frank Hawassi kufuatia kifo cha Mke wake Bi. Damaris Hawassi wakati alipowasili kushiriki msiba huo Miyuji Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *