“Ni kwa namna gani ujenzi wa shule umechangia kuboresha mazingira ya elimu na kukuza vipaji?

“Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa serikali yetu chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Mbunge Jenista Mhagama kwa jitihada kubwa walizoweka katika ujenzi wa shule yetu. Ujenzi huu umekuwa neema kwa sisi wanafunzi, kwani umeboresha mazingira yetu ya kujifunza. Tunajivunia pia kushirikishwa katika Tamasha la Utamaduni litakalofanyika mkoani Ruvuma, ambapo tumepewa fursa ya kuonyesha vipaji vyetu na kuthamini utamaduni wetu. Asante kwa kutupa nafasi hii ya kipekee.” Mwanafunzi

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Taifa Bw. Murshid Hashim Ngeze mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 39 wa ALAT uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *