Mradi wa Maji Same -Mwanga-Korogwe , Sio Ndoto Tena!

Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe umefikia asilimia 95.5 ya utekelezaji wake kufikia August 2024. Mradi huo unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 262 na unatarajiwa kuhudumia zaidi ya wakazi 400,000. Kwa Wilaya ya Same, mabomba ya usambazaji maji yamewekwa kwa umbali wa kilomita 17.755, wakati Wilaya ya Mwanga imefikia kilomita 54.725. Serikali imejipanga kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *