Katika historia ya Tanzania, jina la Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama lina nafasi ya kipekee, si tu kwa sababu ya uongozi wake wa kidesturi lakini pia kutokana na athari zake kwa jamii ya Wangoni na urithi wa kitamaduni katika mkoa wa Ruvuma. Chifu Nkosi Mharule, aliyekuwa mmoja wa viongozi wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: September 2024
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika wameshiriki kilele cha kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa la Kanisa Katoliki
Kongamano hilo la Kanisa Katoliki limefanyika leo Septemba 15 ,2024 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Soma zaidi »“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.@samiasuluhu99
Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.
Soma zaidi »Msomela sasa Inafikika , Miundombinu yote Muhimu Imeboreshwa!
Mbunge Mstaafu wa Ngorongoro Ahamia Msomela, Afurahishwa na Mazingira Rafiki Kwa Ufugaji na Kilimo..
Uamuzi wa Mbunge Mstaafu kuhamia Msomela unatokana na kutafuta fursa bora zaidi kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ambapo mazingira ya eneo hilo yanampa nafasi nzuri ya kuendesha shughuli zake za kilimo na ufugaji kwa mafanikio zaidi. Pia, inaonesha mabadiliko yanayotokea katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, ambapo watu …
Soma zaidi »Kustahimiliana kunajenga jamii yenye mshikamano, ambako utofauti unakubaliwa na kuheshimiwa, huku masuala yanayohusu tofauti za kisiasa, kijamii, na kiuchumi yakitatuliwa kwa amani kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi.
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »“Ni jukumu letu kama taifa kujenga upya mifumo ya kiuchumi na kijamii ili kuhakikisha kuwa tunajenga Tanzania yenye nguvu kwa vizazi vijavyo.” @dr_mpango
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Tunapaswa kuepuka migawanyiko na kuchochea maridhiano ya kitaifa ili tuwe na umoja na mshikamano wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja. ” @SuluhuSamia
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”
“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, Lazima Tuyalinde” Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania , Mhe . Dkt. Philip Isdor Mpango
Soma zaidi »“Bora uitwe mshamba, lakini usimamie maadili.” Mhe. Dotto Biteko
“Kwa kukuza misingi ya uaminifu, haki, uadilifu, uwajibikaji, umoja wa kijamii, na ustawi endelevu, tutahakikisha kuwa safari ya maendeleo ya Tanzania inabaki imara katika maadili yetu ya thamani.” Mhe. Biteko alihimiza umuhimu wa maadili haya kama msingi wa mustakabali bora wa Tanzania
Soma zaidi »