Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa (GDP)

Sekta ya madini inachangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa (GDP) la Tanzania. Mchango wa sekta hii umeongezeka kutoka asilimia 4.8 ya GDP mwaka 2016 hadi kufikia takriban asilimia 7.3 mwaka 2023-2024.

Serikali inalenga kuongezeka kwa mchango wa sekta hii kufikia asilimia 10 ya GDP ifikapo mwaka 2025 kutokana na kuimarishwa kwa usimamizi na uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *