Serikali imetenga zaidi ya TZS trilioni 1.2 kwa ajili ya miradi ya maji kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024.

Miradi hii imelenga kupunguza changamoto za upatikanaji wa maji safi na salama kwa Watanzania wote, huku lengo kuu likiwa kufikia upatikanaji wa maji kwa asilimia 95 mijini na 85 vijijini ifikapo mwaka 2025.

Gusa link hii kuendelea kupata taarifa hii zaidi

Ad

https://matokeochanya.blogspot.com/2024/10/takwimu-chanya-za-utekelezaji-wa-miradi.html…#KaziIemdelee

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *