Maktaba ya Kila Siku: October 21, 2024

Wakaazi 31,282,331 Waandikishwa Katika Daftari la Mkaazi Serikali za Mitaa Nchi nzima.

Kujisajili katika Daftari la Mkazi wa Serikali za Mitaa ni muhimu kwa sababu zifuatazo: Kujisajili kunawawezesha wakazi kupata haki zao za kiraia, ikiwa ni pamoja na kushiriki kikamilifu katika chaguzi za Serikali za Mitaa kwa kupiga kura na kugombea nafasi za uongozi. Pia Wakazi waliosajiliwa wanakuwa na uwezo wa kupata …

Soma zaidi »

Serikali ya Tanzania Yakaribisha Wawekezaji Sekta ya Nishati Kuimarisha Uzalishaji na Usambazaji wa Nishati

Oktoba 21, 2023, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Dkt. Doto Biteko, akiwa nchini Singapore, ametoa mwaliko kwa wawekezaji wa sekta binafsi kuwekeza katika sekta ya nishati ya Tanzania. Akizungumza kwenye mjadala wa kimataifa wa nishati uliohudhuriwa na mawaziri wa nishati kutoka nchi mbalimbali, Dkt. Biteko …

Soma zaidi »