Maktaba ya Kila Siku: October 23, 2024

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kushirikiana na Tanzania katika kuwekeza kwenye nishati ya Jotoardhi inayopatikana katika maeneo mbalimbali nchini. Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika linalofanyika katika Kituo cha Kimataifa …

Soma zaidi »

Tanzania Kuandaa Mkutano wa Kilele wa Nishati Januari 2025

Mkutano wa kilele kuhusu nishati unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa Januari 2025, ambao unawalenga Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, una umuhimu mkubwa kimkakati kwa maendeleo ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Huu ni mkutano wa kimkakati unaoweza kutoa faida kubwa kwa Tanzania katika …

Soma zaidi »