Maktaba ya Kila Siku: October 30, 2024

Tanzania na Afrika Kusini Zaahidi Kuimarisha Ushirikiano Katika Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia wa Tanzania, Prof. Adolf Mkenda, amekutana na Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Afrika Kusini, Mhe. Dkt. Blade Nzimande, ambapo wamejadili kwa kina njia za kuimarisha uhusiano kati ya nchi zao katika nyanja za sayansi, teknolojia na ubunifu. Waziri Mkenda …

Soma zaidi »

Tanzania na Urusi Zaimarisha Ushirikiano wa Biashara na Uchumi Kupitia Tume ya Pamoja

Mkutano wa kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano wa Biashara na Uchumi kati ya Tanzania na Urusi, uliofanyika jijini Dar es Salaam, umehitimishwa kwa mafanikio kwa kusainiwa kwa vipengele mbalimbali vya makubaliano ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya nchi hizo mbili.  Mkutano huo wa siku mbili ulijumuisha …

Soma zaidi »