#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 31, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation Bi. Alice Albright ambapo mazungumzo hayo yalijikita katika kukuza na kuimarisha mahusiano baina ya pande mbili hizo, leo tarehe 30 Oktoba 2024, Des Moines, Iowa nchini Marekani
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye mjadala (round tables discussion) kuhusu Kilimo barani Afrika, katika Mji wa Des Moines, Iowa nchini Marekani tarehe 30 Oktoba, 2024
Mjadala huo ambao uliandaliwa na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani Afrika, Serikali na Sekta binafsi ya Marekani hususan waliopo kwenye sekta ya kilimo. #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Kwa kuwa umwagiliaji ni msingi wa uzalishaji endelevu wa kilimo, TZS 299.96 bilioni zilitengwa kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya umwagiliaji, lengo likiwa ni kufikia hekta milioni 1.2 za ardhi inayomwagiliwa ifikapo mwaka 2025
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Takriban TZS 767.84 bilioni zilitengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo, ongezeko la asilimia 34.7 kutoka bajeti ya mwaka uliopita. Fedha hizi zinalenga kuboresha miundombinu na kuongeza usalama wa chakula kwa taifa.
#NaHayaNdiyoMatokeoChanyA+ #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Mwaka 2023, Tanzania ilifikia uzalishaji wa tani milioni 20.4 za chakula, kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2022, hivyo kusaidia kupunguza uhaba wa chakula na kuongeza akiba ya kitaifa
#NaHayaNdiyoMatokeoChanyA+ #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Uzalishaji wa mbegu bora umeongezeka hadi tani 44,344 mwaka 2023 kutoka tani 35,199 mwaka 2021, hatua inayoboresha tija na ubora wa mazao
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »Katika mwaka wa fedha wa 2023/2024, bajeti ya Wizara ya Kilimo iliongezeka hadi TZS 970.79 bilioni, ikiwa na ongezeko la asilimia 29.24 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Ongezeko hili linaashiria juhudi za serikali kuimarisha sekta ya kilimo na kuongeza uzalishaji
#MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #Kilimo
Soma zaidi »