Maktaba ya Kila Siku: November 16, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)

Mheshimiwa rais anaelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe. Luiz Ińacio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga kuimarisha ushirikiano …

Soma zaidi »

Tanzania ina utajiri wa rasilimali na fursa za kiuchumi zinazotofautiana kulingana na mikoa yake. Kila mkoa una sifa maalum zinazoweza kuchangia katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii

Mkoa wa Dar es Salaam Biashara na Huduma Kama kitovu cha kibiashara na bandari kuu nchini, Dar es Salaam ina fursa nyingi katika sekta za biashara, usafirishaji, na huduma za kifedha. Viwanda Uwepo wa viwanda vingi hutoa nafasi za ajira na uwekezaji katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Mkoa wa Arusha …

Soma zaidi »