Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paul Matiku Chacha mfano wa ufunguo wa magari kwa ajili ya huduma ya afya inayotembea (Mobile Clinic) kwa Wilaya ya Sikonge na Uyui yaliyotolewa na Jakaya Kikwete Foundation chini ya ufadhili wa Kampuni ya SC Johnson Family ya Marekani
MatokeoChanya
February 1, 2025
CCM, DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, Tanzania, Tanzania MpyA+
24 Imeonekana