BALOZI MBELWA ATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA TEKNOLOJIA YA KUZALISHA UMEME WA JUA NCHINI CHINA

Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen

Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki atembelea kiwanda cha kinachotengeneza teknolojia ya kuzalisha umeme wa jua jijini Shenzen ambapo amesema kuwa ujumbe wa kampuni hiyo utatembelea Tanzania mwezi Desemba 2020 kutafuta fursa ya kuwekeza katika uzalishaji wa vifaa vya umeme wa jua

Ad

Unaweza kuangalia pia

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI, MEI MOSI

Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi! Ni siku muhimu ya kuenzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *