USWISS YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BILIONI 44.1 KWA AJILI YA KUONDOA UMASIKINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Balozi wa Uswiss nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot,wakionesha Mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswis milioni 17.8 sawa na Sh. bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kwa mwaka 2020-2023 na Mkataba wa Mfuko wa Pamoja wa Afya kwa mwaka wa fedha 2020/21, jijini Dodoma. (Picha na Peter Haule, WFM, Dodoma)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Balozi wa Uswiss nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, wakibadilishana Mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswis milioni 17.8 sawa na Sh. bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kwa mwaka 2020-2023 na Mkataba wa Mfuko wa Pamoja wa Afya kwa mwaka wa fedha 2020/21, jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (kulia) na Balozi wa Uswiss nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, wakisaini Mikataba miwili ya msaada wa Faranga za Uswis milioni 17.8 sawa na Sh. bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kwa mwaka 2020-2023 na Mkataba wa Mfuko wa Pamoja wa Afya kwa mwaka wa fedha 2020/21, jijini Dodoma.
Ad

Unaweza kuangalia pia

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI, MEI MOSI

Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi! Ni siku muhimu ya kuenzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *