MRADI WA MAJI WA MKURANGA KUINUA KIWANGO CHA HUDUMA KUTOKA ASILIMIA 17.6 MPAKA 83

Mradi wa Maji wa Mkuranga kuinua kiwango cha huduma ya maji kutoka asilimia 17.6 mpaka 83, kutoka wakazi 4,500 mpaka 25,500 wa vijiji 9 katika Mkoa wa Pwani. Mradi huo wa Sh. bil 5.5 umefikia asilimia 85 na unatarajiwa kukamilika mwezi Disemba, 2020.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Mafanikio Na Umuhimu Wa Muungano Wa Tanzania: Sababu Za Kuunganisha Tanganyika Na Zanzibar

Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar kulilenga kujenga umoja wa kitaifa na kuvunja mipaka ya kikanda na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *