RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU, ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto) Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Taasisi ya Huduma za Afya Aga Khan, Mwana Mfalme Bi. Zahra Aga Khan

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *