KWA MARA YA KWANZA TRENI YA KISASA (SGR) KUANZA RASMI SAFARI ZAKE

Ikiwa ni mara ya kwanza treni ya kisasa (SGR) kuanza rasmi safari zake leo, Rais Samia Suluhu amewalipia tiketi abiria waliosafiri kwa mara ya kwanza kutoka Dar es Salaam – Morogoro na Morogoro – Dar es Salaam.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *