Kheri ya siku ya kumbukizi Miaka 25 toka kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tuendelee kuenzi Matokeo chanyA+ ya juhudi zake za kujenga umoja, amani, na maendeleo kwa taifa letu. Umoja ni nguvu, tukumbuke daima mafunzo yake kwa mustakabali wa Tanzania iliyo bora.

#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *