Matokeo ChanyA+
LIVE: KUTOKA MOSHI KILIMANJARO UFUNGUZI WA TRENI YA MIZIGO JULY 20 2019
SADC YAELEZA SABABU ZA TANZANIA KUPEWA NAFASI YA KUANDAA MKUTANO WA JUMUIYA HIYO MWEZI AUGUST,2019
Tanzania imepewa fursa ya kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika (SADC) kutokana na kutimiza vigezo vinavyohitajika na jumuiya hiyo ikiwemo uwepo wa demokrasia na utawala bora mbali na vigezo vingine kama vile mchango wa Tanzania katika ukombozi wa bara la Afrika pamoja na uwepo …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIZINGA WILAYANI MULEBA
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewasha rasmi umeme katika kijiji cha Kizinga, Kata ya Bulyakashaju wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera Julai 17, 2019 na kuibua shangwe kwa wananchi wa eneo hilo. Tukio hilo lilifanyika katika nyumba ya mmoja wa wakazi wa kijiji hicho, Venancia Joanes ambaye alikiri mbele ya …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI ATEMBELEA WILAYA YA KONGWA, DODOMA
AIR TANZANIA YATUA MUMBAI, INDIA
VIWANDA VYOTE NCHINI SASA KUWA NA TRANSFOMA ZAO
Serikali imetoa agizo kwa mameneja wote wa mikoa wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuhakikisha viwanda vyote nchini vinafungiwa Transfoma mahsusi kwa matumizi ya viwanda pekee pasipo kuchanganya na matumizi ya wananchi. Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani alitoa agizo hilo jana, Julai 17, 2019 akiwa katika ziara ya kazi …
Soma zaidi »WAJUMBE WA BODI ZANZIBAR WAIPONGEZA MLOGANZILA
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi wakati akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao …
Soma zaidi »WAKANDARASI MSIKUMBATIE KAZI – NAIBU WAZIRI SUBIRA MGALU
Naibu wa Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi ambao wanadhani hawatakamilisha ama kuchelewesha kazi ya usambazaji wa umeme vijijini kutokana na changamoto mbalimbali , ni vyema kazi hizo wakapatia wakandarasi wenye uwezo ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati. Akizungumzia kazi ya kusambaza umeme vijijini katika maeneo aliyotembelea mkoani Tabora, …
Soma zaidi »CHINA KUENDELEA KUIUNGA MKONO ZANZIBAR KATIKA SEKTA YA AFYA
Balozi mdogo wa Jamhuri ya watu wa China Xie Xiuowu amesema nchi yake itaendeleza azma yake ya kuisaidia Zanzibar katika nyanja tofauti ikiwemosekta ya afya ikiwa ni juhudi zake za kukuza uhusiano miongoni mwa nchi hizo mbili. Alisema misaada wanayoitoa inaongozwa na dhamira njema hasa kwa watu wenye mahitaji ili …
Soma zaidi »