Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema Serikali inatarajia kuokoa takribani shilingi bilioni 25 zinazotumika kununua mafuta mazito ya kuendesha mitambo ya kuzalisha umeme katika Mkoa wa Kigoma kwa mwaka. Akizungumza baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha umeme mkoani Kigoma , Julai 12, Mgalu alisema serikali itaokoa fedha hizo, baada …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
LIVE: UZINDUZI WA NYUMBA ZA MAKAZI YA ASKARI WA JESHI LA POLISI. MAGOGO – GEITA
RC HOMERA AZINDUA MRADI WA MAJI CHAMALENDI, KATAVI
Mkuu wa mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera tarehe 11.07.2019 amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Chamalendi kata ya Chamalendi Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe wilayani Mlele. Mradi huo wenye thamani ya Tsh 402,600,000/= umeshuhudiwa na wananchi wa eneo hilo ambapo mradi huu utahudumia wananchi zaidi ya 10,000 Katika …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI LUSHOTO MKOANI TANGA
UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BAHI WAFIKIA ASILIMIA 87.6 KUKAMILIKA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma dokta Bilinith Mahenge amepongeza kasi na mshikamano uliotumika katika kujenga Hospitali ya Wilaya ya Bahi ambayo ujenzi wake umefikia wastani wa asilimia 87.6. Pongezi hizo amezitoa wilayani humo baada ya kushuhudia majengo saba ya hospitali hiyo yakiwa katika hatua ya mwisho kukamilika kutokana na mshikamano …
Soma zaidi »RAIS MUSEVENI AFANYA ZIARA YA SIKU MOJA HAPA NCHINI KWA KUMTEMBELEA RAIS MAGUFULI KIJIJINI KWAKE CHATO GEITA
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 13 Julai, 2019 amefanya Ziara Binafsi ya siku 1 hapa nchini kwa kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake katika Kijiji cha Mlimani Wilaya ya Chato Mkoani wa Geita. Mhe. Rais …
Soma zaidi »UINGEREZA YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA
Uingereza imeihakikishia Tanzania kuwa itaendelea kuwa mshirika wake katika masuala mbalimbali ya ubia wa maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wawekezaji wengi kutoka Uingereza kuwekeza Tanzania kama moja ya hatua za kuiunga mkono Serikali ya Awamu ya Tano ili iweze kufikia azma yake ya kuwa nchi ya uchumi wa kati …
Soma zaidi »WAKANDARASI TUMIENI VIJANA WANAOMALIZA JKT, KUJENGA MIRADI YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewashauri wakandarasi nchini kuwatumia vijana wanaomaliza mafunzo katika jeshi la kujenga taifa wenye taaluma na ujuzi mbalimbali ikiwemo sekta ya Nishati ya Umeme. Mgalu alisema idadi kubwa ya vijana wanaohitimu mafunzo ya JKT wanakuwa na nidhamu, pamoja na uzalendo katika kutekeleza majukumu yao kwa …
Soma zaidi »RAIS MUSEVENI KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kesho Jumamosi tarehe 13 Julai, 2019 atafanya Ziara Binafsi ya siku 1 moja hapa nchini. Mhe. Rais Museveni atamtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Mlimani katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita. Akiwa …
Soma zaidi »