Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amemuaga Balozi wa Unganda nchini Richard Kabonero ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika tukio hilo Waziri Mulamula amempongeza Balozi Kabonero kwa kazi nzuri aliyoifanya …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
TANZANIA YAFAFANUA MSIMAMO WAKE KUHUSU MGOGORO WA URUSI NA UKRAINE
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sababu ya kupiga kura ya kutofungamana na upande wowote katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya Urusi na Ukraine huku ikisisitiza pande zote mbili kutafuta suluhu katika meza ya mazungumzo. Waziri wa Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »SERIKALI IMERIDHIA OMBI LA WAKAZI WA MAGOMENI KOTA KUNUNUA NYUMBA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Msanifu majengo Daud Kondoro wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu hatua mbalimbali za Ujenzi wa Nyumba 644 katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Soma zaidi »MWENYEKITI WA BODI YA TAASISI YA GWPSA – AFRICA RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MAJI
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Senegal Macky Sall, Ikulu ya Senegal, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kwa Wadhifa wake wa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership – Southern Africa and Africa Coordination …
Soma zaidi »RAIS SAMIA ATOA WITO KWA WATANZANIA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa Mazingira (DAWASA) Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akielezea kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maji katika Mkoa wa Dar es Salam kwenye Maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Maji …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulazizi Kattan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …
Soma zaidi »TANZANIA, EU ZAKUTANA KUJADILI EPA
Serikali ya Tanzania imekutana na Umoja wa Ulaya (EU) kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Mkataba wa Ushirikiano wa Kiuchumi (EPA) kati ya Umoja huo na Tanzania. Akiongea wakati wa kikao cha wataalamu kutoka Tanzania na EU kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Prof. Godius Kahyarara …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA TZ NCHINI AUSTRIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania nchini Austria Balozi Celestine Mushy,mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 21 Machi 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Soma zaidi »WAZIRI DKT MABULA AONYA WANAOTEGESHA KUPATA FIDIA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na uongozi pamoja na watendaji wa sekta ya ardhi wilayani ya Sengerema mkoani Mwanza kabla ya kuzindua Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya tarehe 21 Machi 2022. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline …
Soma zaidi »DKT. YONAZI AMELIKUMBUSHA JESHI LA POLISI WAJIBU WA KUJIFUNZA NA KUTOA ELIMU YA USALAMA MTANDAO
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) CP Camilius Wambura akizungumza wakati wa mafunzo ya Usalama Mtandao kwa Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa, Wakuu wa Vikosi na Wakuu wa Madawati ya Upelelezi wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani), yaliyofanyika leo tarehe 21 Machi 2022, jijini Dodoma. Katibu Mkuu …
Soma zaidi »