Afya BIMA YA AFYA MOI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

MOI YALETA MITAMBO YA KISASA YA UPASUAJI UBONGO BILA KUFUNGUA FUVU

Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imedhamiria kwa dhati kuboresha Sekta ya Afya nchini na tayari imeleta mitambo ya kisasa ya Maabara ya upasuaji wa Ubongo bila kufungua fuvu (Angio Suite). Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Taasisi ya Mifupa (MOI), Patrick Mvungi […]

Afya BIMA YA AFYA MKOA WA KILIMANJARO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

BILIONI 8 KUJENGA MAABARA YA KISASA YA UCHUNGUZI MAGONJWA AMBUKIZI HOSPITALI YA KIBONGO’OTO

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kutumia kiasi cha shilingi Bilioni Nane (8) kwa ajili ya ujenzi wa Maabara kubwa na ya kisasa ya uchunguzi wa magonjwa ambukizi ikiwemo ya Kifua Kikuu katika Hospitali maalum ya Magonjwa ya kuambukiza Kibong’oto, mkoani hapa. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Dkt. Donatus Tsere […]

Afya BIMA YA AFYA Julius Nyerere International Airport Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

WAZIRI UMMY AKAGUA JNIA TERMINAL 3 UTAYARI WATUMISHI WA AFYA DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameridhishwa na hali ya ukaguzi wa abiria wanaoingia nchini katika uwanja wa ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere(JNIA) jengo la tatu la abiria-TB3 dhidi ya homa kali ya mafua inayoenezwa na virusi vya Corona. Awali akiwa uwanjani hapo aliweza kutembelea kujionea maeneo mbali mbali […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

WATAALAMU WA MOYO NA WAZIBUAJI WA MISHIPA YA DAMU YA MOYO WA (JKCI) NA MWENZAO KUTOKA KAMPUNI YA MEDTRONIC WAZIBUA MISHIPA YA DAMU YA MOYO YA MGONJWA AMBAYO IMEZIBA KWA MUDA MREFU

Jumla ya wagonjwa 12 ambao mishipa yao ya damu ya moyo imeziba kwa muda mrefu (Total Chronic Occlusion – CTO) wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji unaohitaji utaalamu wa hali ya juu katika kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar es Salaam Daktari mbobezi wa […]

Afya BIMA YA AFYA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

TANZANIA NA CHINA ZATOA TAMKO LA PAMOJA

Serikali ya Tanzania na China zimetoa tamko la pamoja kuhusu hali za watanzania walioko nchini China na hatua zinazochukuliwa na nchi hiyo kukabiliana na virusi vya Corona. Tamko hilo la pamoja limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) pamoja na Balozi wa China hapa Nchini […]

Afya BIMA YA AFYA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

SEKTA YA AFYA NCHINI KUNUFAIKA NA MSAADA WA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 600 KUTOKA GLOBAL FUND

Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika  kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa Mfuko huo Barani Afrika Bw. Linden Morrison, alipokutana […]

Afya BIMA YA AFYA Kassim Majaliwa Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ Waziri Mkuu WIZARA YA AFYA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI

NATOA WITO KWA WAZAZI KUTOWARUHUSU WATOTO KUREJEA CHINA MPAKA PALE SERIKALI ITAKAPOJIRIDHISHA NA HALI INAVYOENDELEA NCHINI HUMO – WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wanaosoma nchini China kutoruhusu watoto hao kurudi nchini humo kwasasa mpaka pale Serikali itakapotoa tamko baada ya kupata taarifa kutoka kwa Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki  kuhusu hali inavyoendelea nchini humo kufuatia ugonjwa unao sababishwa na kirusi cha CORONA. Waziri Mkuu amesema hayo […]

Afya BIMA YA AFYA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

BALOZI WA ISRAEL ATEMBELEA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

Israel imeahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kuhakikisha watoto wenye magonjwa ya moyo wanapata matibabu kwa wakati. Hayo yamesemwa jana na Balozi wa nchi hiyo nchini mwenye makazi yake Jijini Nairobi nchini Kenya Mhe. Oded Joseph alipotembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Taasisiya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI) KUJENGA HOSPITALI KUBWA YA MOYO MLOGANZILA

Serikali kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) ikishirikiana na Serikali ya China wanatarajia kujenga hospitali kubwa ya moyo katika eneo la Mloganzila ambapo hatua za awali za mchakato wa ujenzi zimekamilika. Akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Prof.Mohammed Janabi alieleza kuwa katika miaka minne ya […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YATAKIWA KUJIUNGA NA TIBA MTANDAO

Hospitali ya Benjamin Mkapa imetakiwa kujiunga na tiba mtandao ili kuweza kutoa tiba kwa wagonjwa kwa haraka na kwa ufanisi ili kuwapunguzia wagonjwa muda wa kusubiri majibu hususani ya mionzi Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati alipoitembelea hospitali hiyo kujionea hali ya utoaji huduma. […]