Afya MSD SADC Sisi Ni Tanzania MpyA+ Tanzania MpyA+ Tupo Vizuri Uchumi UCHUMI TANZANIA Utumishi Wananchi WIZARA YA AFYA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

MSD SASA KUNUNUA, KUSAMBAZA DAWA KWA NCHI ZOTE ZA SADC!

  Katibu Mtendaji wa Sekretariet ya SADC Dkt. Stergomena L. Tax na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu wamesaini mkataba wa makubaliano ya MSD kuwa mnunuzi Mkuu wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwa ajili ya nchi 16 wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Hatua […]

Afya IKULU John Pombe Joseph Magufuli JPM KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Matokeo ChanyA+ Miundombinu Tanzania MpyA+ UKEREWE Utumishi Wananchi Ziwa Victoria

TAARIFA MUHIMU

• Kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu • Inahusu Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupokea taarifa rasmi kutoka kwa Katibu Mtendaji wa SADC kwamba Rais Magufuli ameteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Jumuia hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja kuanzia Agosti 2018 hdi Agosti 2019. • Pia; Inahusu Rais wa Jamhuri ya […]

Afya HALM ASHAURI ZA WILAYA KOROSHO YETU MHE. RUKIA MUWANGO MKOA WA LINDI Tanzania MpyA+ Wakuu wa Wiliya Wananchi WILAYA YA NACHINGWEA WIZARA YA KILIMO WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA ZAO LA KOROSHO

NACHINGWEA YATANGAZA UZINDUZI WA MSIMU WA UUZAJI KOROSHO 2018/2019

Pamoja na uzinduzi huo, Mhe. Rukia ameendelea kuunga mkono wito wa serikali kwa kukaribisha wawekezaji wa viwanda vya kubangua korosho wilaya humo ili wakulima wanufaike zaidi na kuongeza thamani ya zao hilo sambamba ya ajira kwa wakulima na watakao ajiriwa katika viwanda vhivyo. Tarehe ya Uzinduzi 13/10/2018 siku ya Jumamosi Uzinduzi kufanyika MNERO NGONGO Utaanza […]

Afya Taarifa Vyombo vya Habari Tanzania MpyA+ Wakuu wa Mikoa

MKOA WA SONGWE KUZINDUA KAMPENI ZA UPIMAJI AFYA BURE

Mkoa wa Songwe, kwa kushirikiana na  Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto kupitia mpango wa kitaifa wa kudhibiti UKIMWI NACP Kwa kushirikiana na shirika la MHRP – HJRMRI wameandaa huduma za upimaji wa afya zitakazo tolewa bure mkoani humo. Hayo yamesemwa na mkuu wa Mkoa Bri. Jen Nicodemas Mwangela, amesema kuwa uzinduzi wa […]

Afya Bunge Elimu IKULU Makamu wa Rais MAWASILIANO IKULU Mawaziri Mhe. Samia Suluhu Hassan Taarifa Vyombo vya Habari Tanzania MpyA+ Wananchi

MAKAMU WA RAIS;Elimu inahitajika kuzuia viumbe wageni/vamizi

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni vema kama nchi kujipanga mapema kuhakikisha kwamba viumbe vamizi hawaendelei kushamiri ili kuepusha Taifa kuingia kwenye gharama kubwa za kukabiliana na janga hilo hapo baadaye. “Pamoja na kwamba viumbe hawa ni janga la kiuchumi, kimazingira na kiafya lakini bado halijashughulikiwa kikamilifu hususani katika elimu ya kuzuia viumbe […]