BANDARI

Bandari Yetu, Maendeleo Yetu

Kati ya mwaka 2021 hadi 2023, bandari za Tanzania zimeonyesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma. Kwa mfano, Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni mojawapo ya bandari kuu nchini, ilihudumia tani milioni 12.05 za mizigo kati ya Julai na Desemba 2023, ikivuka lengo la tani …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AWEKA MSISITIZO KATIKA MAGEUZI YA KUKUA KIUCHUMI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kuweka msisitizo juu ya muendelezo wa mageuzi katika Mashirika na Taasisi za Umma kwa lengo la kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi katika Taifa letu la Tanzania kwa manufaa ya Taifa na Watanzania wote kwa ujumla. Rais …

Soma zaidi »

BANDARI YA DAR ES SALAAM INAPANUKA NA KUIMARIKA: HATUA MUHIMU KWA UCHUMI WA TANZANIA

Bandari ya Dar es Salaam ni kitovu muhimu cha biashara na uchumi wa Tanzania, na inaendelea kuimarika kupitia uwekezaji mpya na miradi mingine inayotegemea bandari hiyo. Hivi karibuni, kumekuwa na maendeleo makubwa yanayolenga kuboresha miundombinu na huduma zinazotolewa katika Bandari ya Dar es Salaam. Moja ya miradi muhimu ni upanuzi …

Soma zaidi »

CHANGAMOTO BANDARI YA MALINDI INASABABISHWA NA KUWA NA GATI MOJA DOGO LA KUSHUSHIA MIZIGO

Dk. Mwinyi amesema changamoto ya Bandari ya Malindi inasababishwa na jambo moja kuu ambalo ni kuwa na gati moja dogo la kushushia mizigo ambalo linasababisha foleni za meli kushusha hadi siku 7, hata hivyo alieleza kuwa utatuzi wa changamoto hiyo ni kuwa na bandari kubwa zaidi na gati nyingi zenye …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZITAKA TPA, TRA, TASAC NA EGA ZIFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuboresha utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam Ameyasema hayo (Jumatano, Mei 12, 2021) alipotembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona utendaji wa bandari hiyo. “TPA …

Soma zaidi »

UFUNGAJI WA SCANNER KUBWA YA KISASA AFRIKA INAYOTUMIA MIONZI KUKAGUA MIZIGO INAYOPITA BANDARI YA DSM, WARIDHISHA

Jengo la kuendeshea mitambo na udhibiti midaki (Scanner) kubwa na ya kisasa Afrika ya kukagua mizigo inayopita katika Bandari ya Dar Es Salaam, lilivyoonekana wakati wa ziara Wajumbe wa Kamati ya usimamizi wa Mradi wa uboreshaji wa Taasisi za usimamizi wa Rasilimali Asilia na Ukusanyaji wa Mapato (PSC) unayofadhiliwa na …

Soma zaidi »

SERIKALI KUIMARISHA USAFIRI WA MAJINI – WAZIRI MKUU

Eneo la bandari ya Mtwara linalopanuliwa katika maboresho yanayofanywa na serikali ili kukuza uwezo wa bandari hiyo. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua upanuzi huo Julai 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malengo ya Serikali ni kuimarisha usafiri kwenye maziwa yote na bahari ili kuwawezesha …

Soma zaidi »