BANDARI Bandari Dar es Salaam BANDARI YA TANGA IDARA YA HABARI MAELEZO JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM SADC Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+

MHANDISI KAKOKO: NCHI ZA SADC ZIIMARISHE NGUVU YA PAMOJA YA MIUNDOMBINU KUKUZA VIWANDA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuunganisha nguvu ya pamoja katika kuimarisha miundombinu ya Reli, Barabara, Bandari pamoja na Mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika Mataifa hayo. Aliyasema hayo leo Jumanne (Agosti 6, 2019) wakati wa mjadala […]

BANDARI Bandari Dar es Salaam BANDARI YA TANGA IDARA YA HABARI MAELEZO JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+

UJENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAENDELEA VYEMA

Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza kupokea meli kubwa za mizigo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema mradi wa ujenzi wa magati hayo utakaogharimu takribani shilingi Trilioni moja utaiwezesha Bandari […]

BANDARI Bandari Dar es Salaam JIJI LA DAR ES SALAAM MKOA WA DAR ES SALAAM Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA UJENZI, MAWASILIANO NA UCHUKUZI

UJENZI WA GATI NAMBA MOJA WAKAMILIKA KATIKA BANDARI YA DAR

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema ujenzi wa gati namba moja umekamilika kati ya gati nane zinazotarajiwa kujengwa na kuongeza kuwa  ujenzi wa  gati namba mbili utakamilika Julai katikati na litakuwa na urefu wa mita 255. Waziri Kamwele amesema hayo leo katika bandari ya Dar es salaam wakati akizindua gati namba […]