Afya BIMA YA AFYA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

UJERUMANI YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BIL. 32.7 KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO

Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 13, sawa na sh. bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama Tumaini la Mama. Hafla ya utiaji saini […]

Afya BIMA YA AFYA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

SERIKALI KUSOMESHA MADAKTARI BINGWA 365 KWA AJILI YA KUSAMBAZWA MAENEO YENYE UHABA

  Jumla ya madaktari bingwa 365 wanatarajia kuhitimu mafunzo kuanzia mwaka wa wasomo 2019/2020, 2020/2021 na 2021/2022 ambao watasambazwa kwenye hospitali mbalimbali nchini kulingana na uwiano wa wataalamu waliopo pamoja na kuzingatia maeneo yenye uhaba mkubwa. Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile amesema hayo leo Bungeni Jijini […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MAPINDUZI YA ZANZIBAR Rais Wa Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA ZANZIBAR

WAJUMBE WA BODI ZANZIBAR WAIPONGEZA MLOGANZILA

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila- imewekea mikakati mbalimbali ya kuhakikisha inaendelea kutoa huduma bora za afya kwa wananchi ikiwemo huduma za kibingwa na kibobezi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Muhimbili-Mloganzila Dkt. Julieth Magandi wakati akizungumza na viongozi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar ambao wamefanya ziara ya siku moja […]

Afya BIMA YA AFYA MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

SERIKALI YATOA BILION 5.7 UJENZI WA MAABARA NA JENGO LA UPASUAJI – SIMIYU

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto yatoa kiasi cha shilingi Bilion 5.7 kwaajili ya ujenzi wa jengo la maabara na jengo la upasuaji ikiwa ni awamu ya pili, baada yakuzinduliwa kwa awamu ya kwanza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Mwezi Agasti 2018. […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BAHI WAFIKIA ASILIMIA 87.6 KUKAMILIKA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma dokta Bilinith Mahenge amepongeza kasi na mshikamano uliotumika katika kujenga Hospitali ya Wilaya ya Bahi ambayo ujenzi wake umefikia wastani wa asilimia 87.6. Pongezi hizo amezitoa wilayani humo baada ya kushuhudia majengo saba ya hospitali hiyo yakiwa katika hatua ya mwisho kukamilika kutokana na mshikamano uliopo baina ya viongozi wa […]

Afya BIMA YA AFYA HOSPITAL YA MUHIMBILI MLOGANZILA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

ALIYELAZWA MWAKA MMOJA MLOGANZILA APATIWA MASHINE YA KUPUMUA

Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, imempatia msaada wa mashine ya kusaidia kupumua (Oxygen Concentrator) Bw. Hamad Awadhi kutokana na matatizo yake ya afya ambayo yanamlazimu kutumia mashine ya oxygen muda wote ili aweze kupumua. Akikabidhi msaada huo Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-MNH-Prof. Charles Majinge amesema hospitali imempatia msaada Bw. Awadhi kwa […]

Afya BIMA YA AFYA MKOA WA SIMIYU Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA Ziara ya Rais Mkoani Simiyu

MKUU WA MKOA ANTHONY MTAKA ATAKA MAFUNDI WANAOTOKA KWENYE JAMII WATAMBULIWE, WAJENGEWE UWEZO

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kupitia kwa wahandisi wa ujenzi kuwatambua na kuwajengea uwezo mafundi wote wanaotoka kwenye jamii wanaofanya kazi za serikali kwa kutumia mfumo wa ujenzi usiotumia wakandarasi (Force Account) hususani waliofanya kazi nzuri kwenye ujenzi wa hospitali za wilaya ya Mkoa wa Simiyu. Mtaka ameyasema hayo […]

Afya BIMA YA AFYA China MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI PROF. PARAMAGAMBA KABUDI Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA AFYA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI WIZARA YA NISHATI

SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINUFU KWA AJILI YA UPANUZI WA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI)

Tanzania imetia saini Mkataba wa kupatiwa fedha za Msaada wa Shilingi Bilioni 60 za kitanzania kutoka Serikali ya Watu wa China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi wake. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. […]

Afya BIMA YA AFYA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari TAMISEMI Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

DKT. GWAJIMA ATAKA HUDUMA TEMBEZI ZA AFYA KUWA JUKUMU LA PAMOJA

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wadau wote wanaotoa huduma Tembezi za Afya kuunganisha nguvu kwa pamoja ili huduma hiyo iweze kufikishwa katika Halmashauri zote Nchini. Dkt.Gwajima ameyasema hayo wakati wa kikao cha wadau wa Afya kuwasilisha Taarifa mbalimbali za utekelezaji wa […]