Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

STAMICO HII HAIWEZI KUFUTWA – KAMATI YA BUNGE

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mashirika ya Umma imesema Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) haliwezi kufutwa tena kutokana na mwenendo wa sasa kuridhisha kutokana na utendaji wake na kubadili mtazamo wa awali. Kubadili kwa mtazamo huo kunatokana na mwenendo wa awali kutoridhisha katika utendaji wake hali iliyopelekea baadhi ya wabunge kutaka Shirika hilo […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA NISHATI

BUNGE LARIDHIA MKATABA WA UANZISHWAJI USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA NISHATI JUA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Mkataba wa kuanzishwa kwa Ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA), katika Mkutano wake wa Kumi na Saba, Novemba 14, 2019 Dodoma. Awali, akiwasilisha Azimio la Bunge kwa ajili ya kuridhia Mkataba huo, Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani alieleza kuwa Bunge linaombwa kuridhia Mkataba husika, […]

Bunge Bunge La Tanzania Mhimili wa Bunge MRADI WA UMEME VIJIJINI NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI WA NISHATI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA NISHATI

KAMATI YA BUNGE YATOA MAONI KUHUSU MKATABA WA UMEME JUA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wametoa maoni mbalimbali kwa Wizara ya Nishati, kuhusu kuanzishwa kwa ushirikiano wa Kimataifa wa Nishati ya Jua (ISA). Walitoa maoni hayo Dodoma, Novemba 12, 2019 wakiwa ni sehemu ya wadau wa sekta husika ili kuboresha Mkataba huo kabla haujawasilishwa kwa Bunge la Jamhuri ya […]

Bunge Bunge La Tanzania KILIMO Mhimili wa Bunge NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NAIBU WAZIRI KILIMO NAIBU WAZIRI WA KILIMO Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA WIZARA YA KILIMO

SERIKALI KUWEZESHA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO (ASA) KUONGEZA UZALISHAJI WA MBEGU BORA NA KUIMARISHA SOKO LA ZAO LA NAZI

Upatikanaji wa mbegu bora zikiwemo za mahindi ngano, maharage, mpunga, soya, alizeti, mtama, ufuta, viazi mviringo na mbegu za mazao ya bustani kwa msimu wa 2018/19 ulifikia tani 49,040 kati ya hizo tani 38,507 sawa na asilimia 78.6 zilizalishwa nchini na tani 8,361 sawa na asilimia 17 ziliagizwa nje ya nchi na tani 2,171 sawa […]

Bunge Bunge La Tanzania Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma Mhimili wa Bunge MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI NAI U SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Tanzania MpyA+ WIZARA YA KAZI,AJIRA,VIJANA,BUNGE,SERA

LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

Ni mkutano wa 16 wa Bunge la 11, kikao cha tatu unaendelea katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma, ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali wanaulizwa maswali na kuyatolea majibu kuhusiana na masuala mbalimbali.