China MAZAO YA BIASHARA Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA PILI YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA NJE NCHINI CHINA

Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa ameshiriki katika maonesho ya pili ya Kimataifa ya Bidhaa za Nje (CIIE) yanayofanyika nchini China ambayo yamefunguliwa na Rais wa China Xi Jinping ambapo nchi zaidi ya 64 zinashiriki kuonyesha bidhaa mbalimbali. Tanzania inashiriki maonesho hayo kwa kutangaza mazao ya kimakakati pamoja na kutangaza vivutio vya kiutalii vinavyopatikana […]

China SADC Tanzania MpyA+ UWEKEZAJI WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

BALOZI KAIRUKI AYAKARIBISHA MAKAMPUNI YA SADC KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI NDANI YA JIMBO LA JIANGSU – CHINA

Mkutano wa kuvutia uwekezaji katika nchi za SADC kutoka Jimbo la Jiangsu umefunguliwa leo jijini Nanjing na Naibu Gavana wa Jimbo hilo Ndugu Ma Qiulin. Mkutano huo umehudhuriwa na Mabalozi 11 wa nchi za SADC na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa SADC ambaye pia ni Mkurugenzi wa Miundombinu wa Sekretariat ua SADC Bi Mapolao Mokoena. […]

Afya BIMA YA AFYA China MRADI WA UMEME VIJIJINI NAIBU WAZIRI WA NISHATI PROF. PARAMAGAMBA KABUDI Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ UMEME VIJIJINI WAZIRI WA NISHATI WIZARA YA AFYA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO AFRIKA MASHARIKI WIZARA YA NISHATI

SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINUFU KWA AJILI YA UPANUZI WA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE(JKCI)

Tanzania imetia saini Mkataba wa kupatiwa fedha za Msaada wa Shilingi Bilioni 60 za kitanzania kutoka Serikali ya Watu wa China bila ya masharti yeyote ambapo Serikali ya Tanzania itaamua matumizi yake katika miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi wake. Mkataba huo umesainiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. […]

BODI YA UTALII TANZANIA China Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ TANZANIA TOURISM BOARD UTALII TANZANIA

SERIKALI YAJIPANGA KUTEKA SOKO LA WATALII CHINA

Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kwa sasa muelekeo wa soko la Utalii nchini umelenga kupata watalii wengi kutoka nchini China na kama Wizara inayoshugulikia masuala ya Utalii,  suala la  kujifunza lugha ya kichina kwa baadhi ya watumishi na wadau wa utalii ili kuteka soko hilo ni jambo lisiloepukika. Imesema nguvu nyingi kwa […]

BODI YA UTALII TANZANIA China Sisi Ni Tanzania MpyA+ Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania Tanzania Mpya Tanzania MpyA+ TANZANIA TOURISM BOARD UTALII TANZANIA WIZARA YA MALIASILI

KITUO CHA TV CHA HAINAN CHA CHINA KUTENGENEZA KIPINDI MAALUM CHA KUTANGAZA BIDHAA ZA TANZANIA

Kituo cha Television cha Hainan nchini China kimeingia makubaliano na Ubalozi wa Tanzania Beijing kutengeneza kipindi maalum cha kutangaza bidhaa za Tanzania, utamaduni, vyakula na utalii katika soko la China ambapo Kipindi hicho kitatengenezwa Mwezi Julai na kurushwa mwezi Novemba 2019 Makubaliano hayo yamefikiwa Beijing katika mkutano wa Balozi wa Tanzania nchini humo,Mbelwa Kairuki na […]