Dodoma Dodoma inajengwa Elimu ELIMU BURE Elimu Mtandaoni ELIMU YA MSINGI TANZANIA ELIMU YA SEKONDARI TANZANIA IKULU DODOMA JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA

TAHLISO YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA MIRADI JIJINI DODOMA

Kamati Kuu Tendaji ya Taasisi ya Wanafunzi wa Vyuo Vya Elimu ya Juu Nchini (TAHLISO) imefanya Ziara ya Kutembelea Miradi Mbalimbali ya Maendeleo Jijini Dodoma, katika Ziara hiyo ya Mafunzo iliyofanyika tarehe 29 Machi, 2020 ambapo iliogozwa na  Mwenyekiti Ndg. Peter Niboye wametembelea miradi mikubwa ya kimkakati inayojengwa kwa kutumia pesa kutoka Serikali Kuu ikiwemo […]

Dodoma Dodoma inajengwa IKULU JIJI LA DODOMA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Makao Makuu Dodoma MAWASILIANO IKULU MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Rais Rais Live Tanzania MpyA+

LIVE: HAFLA YA MAKABIDHIANO YA RIPOTI YA CAG NA TAKUKURU – IKULU CHAMWINO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 26 Machi, 2020 atapokea taarifa ya CAG ya mwaka 2018/19 na Taarifa ya TAKUKURU ya mwaka 2018/19 katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. Tukio hili litarushwa mubashara kupitia Vyombo vya Habari kuanzia saa 4:00 asubuhi hii.

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

NCHI ZA SADC ZATAKIWA KUTATHMINI UCHUMI WAKE BILA KUTEGEMEA MASHIRIKA YA KIMATAIFA PEKEE

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amesema kuwa nchi za Afrika hasa zilizopo chini ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) zinatakiwa kujitazama na kushauriana kuhusu mwenendo wao wa uchumi badala ya kuyaachia Mashirika ya Kimataifa pekee. Rai hiyo imetolewa Jijini Dodoma wakati wa Mkutano kati yake na Ujumbe […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA SHERIA NA KATIBA

SPIKA WA BUNGE AZINDUA JENGO LA MAHAKAMA WILAYA YA KONDOA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) leo azindua Jengo la kisasa lililojengwa kwa kutumia teknologia ya moladi Wilayani Kondoa Akiwa mgeni Rasmi katika uzinduzi wa Mahakama ya Wilaya ya Kondoa alisema miundo mbinu bora na ya kisasa katika muhimili wa Mahakama inawezesha mazingira tulivu ya uwekezaji na ukuaji […]

Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO

SERIKALI KUTOINGILIA TAALUMA YA UKAGUZI WA HESABU ZA FEDHA

Serikali imeeleza kuwa haina mpango wa kuingilia taaluma ya ukaguzi wa hesabu nchini kwa kuondoa kipengele cha Hati inayoridhisha kwenye Ukaguzi wa Hesabu kwa kuwa ni matakwa ya Viwango vya kimataifa vya uandaaji wa Taarifa za Fedha. Hayo yamesemwa Bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akijibu […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Taarifa Vyombo vya Habari Taarifa ya Habari Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA YATAKIWA KUJIUNGA NA TIBA MTANDAO

Hospitali ya Benjamin Mkapa imetakiwa kujiunga na tiba mtandao ili kuweza kutoa tiba kwa wagonjwa kwa haraka na kwa ufanisi ili kuwapunguzia wagonjwa muda wa kusubiri majibu hususani ya mionzi Rai hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati alipoitembelea hospitali hiyo kujionea hali ya utoaji huduma. […]

Afya BIMA YA AFYA Dodoma Dodoma inajengwa JIJI LA DODOMA Makao Makuu Dodoma MKOA WA DODOMA MKUU WA WILAYA YA DODOMA MJINI Tanzania MpyA+ WIZARA YA AFYA

SERIKALI KUIPATIA BILIONI MBILI KCMC KWA AJILI YA JENGO LA MIONZI

  Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuipatia kiasi cha shilingi bilioni mbili hospitali ya rufaa ya kanda KCMC ili kuweza kutoa huduma za tiba za mionzi hospitalini hapo. Hayo yamesemwa  na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati akijibu maswali kwa […]